KIPIMO

KIPIMO
Share

location p[icture

location p[icture
inaweza kuwa natural au artificial

Thursday, April 4, 2013

AJALI ZINAEPUKIKA TANZANIA,TUJIPANGE

 Baadhi ya wananchi wa busunzu kibondo mkoani kigoma wakijalibu kutoa msaada kwa gari lililopata ajali likiwa linaelekea kigoma.


TANZANIA: nchi kubwa sana ambayo sehemu nyingi miundo mbinu yake bado ipo katika analogia.huwezi kuamini,barabara ya kuelekea kigoma kupitia kahama bado haijafunguka.hivyo kupelekea usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanaoelekea kigoma kutokea dar es salaam kupitia kahama na pia kutoka mwanzza kupitia nyakanazi.
Hali hiyo inatokana na barabara hiyo kuanzia NYAKANAZI kutokuwa kuwa katika kiwango cha lami<mtoa taarifa hii anasema katika kutoa ruzuku mkoa wa kigoma,hususani wilaya ya kibondo kutengwa na hivyo kuwa na miundo mbinu mibovu.akitoa mfano anasema,kwa mfano umeme katika wilaya ya kibondo umeingia november 2012 wakati wilayahiyo ilipewa hadhi hiyo toka mwaka 1940.serikali imetutenga na haitutendei haki kabisa wananchi wa wilaya ya kibondo.
hayo ni baadhi ya malalamiko ya wakadhi wa kibondo KIGOMA.