KIPIMO

KIPIMO
Share

location p[icture

location p[icture
inaweza kuwa natural au artificial

Tuesday, May 7, 2013

Thursday, April 4, 2013

AJALI ZINAEPUKIKA TANZANIA,TUJIPANGE

 Baadhi ya wananchi wa busunzu kibondo mkoani kigoma wakijalibu kutoa msaada kwa gari lililopata ajali likiwa linaelekea kigoma.


TANZANIA: nchi kubwa sana ambayo sehemu nyingi miundo mbinu yake bado ipo katika analogia.huwezi kuamini,barabara ya kuelekea kigoma kupitia kahama bado haijafunguka.hivyo kupelekea usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanaoelekea kigoma kutokea dar es salaam kupitia kahama na pia kutoka mwanzza kupitia nyakanazi.
Hali hiyo inatokana na barabara hiyo kuanzia NYAKANAZI kutokuwa kuwa katika kiwango cha lami<mtoa taarifa hii anasema katika kutoa ruzuku mkoa wa kigoma,hususani wilaya ya kibondo kutengwa na hivyo kuwa na miundo mbinu mibovu.akitoa mfano anasema,kwa mfano umeme katika wilaya ya kibondo umeingia november 2012 wakati wilayahiyo ilipewa hadhi hiyo toka mwaka 1940.serikali imetutenga na haitutendei haki kabisa wananchi wa wilaya ya kibondo.
hayo ni baadhi ya malalamiko ya wakadhi wa kibondo KIGOMA.

Thursday, February 21, 2013

AINA TOFAUTI YA KAMERA AMBAZO HUTUMIKA KUCHUKULI PICHA KATIKA KUTENGENEZA FILAMU



 kamera maalumu kwa ajili ya kufanyia filamu

Hizi ni baadhi ya kamera ambazo ni  za kisasa kabiza kwa ajili ya kuchukulia picha katika hatua za utengenezaji wa filamu.kamera hizi zipo za aina nyingi na kwa bei tofauti tofauti ni suala la kuangalia uwezo wako katika kumudu kuzapata

Saturday, January 19, 2013

happybirthday american first lady

unaikumbuka hii,au ulishawahi kuisikia

HII PENTAGON

PENTAGONI SHOP: Ipo chinangali unashuka kituo cha kwa mwarabu unanyoosha barabara kama mita 150 hivi utakuw aumefika.

TANGAZO LA BIASHARA

Maisha yamekuwa magumu sana mpaka sasa watu wanaishi kwa nguvu za giza.hebu cheki hili tangazo,je kama ni wewe utakuwa mteja wa huyu daktari.huwezi amini watu wanaenda na kupata tiba,kama ni kweli kwa nini yeye mwenyewe asijiondolee hiyo mikosi na kutengeneza pesa na kuboresha maisha yake>MTANZANIA KUWA MAIKINI NA WEZI HAWA

HUWEZI AMINI LAKIN NI KWELI

Whenga walisema subira yavuta heri,kweli msemo huu umetimia kwa wakazi wa dodoma hususani kuanzia njia panda ya area c kuelekea chinangali mpaka chan'gombe kwani ile adha ya usafiri walikuwa wakipata inaweza kuwa imefikia kikomo.Hii ni baada ya kukaribia kumalizika kwa ujenzi wa barabara katika kiwango cha lami. hapa ni kipandde cha kingali kutoka chan'gombe ikwa imekamilik kabisa.kweli sasa hata wenye daladala wanaweza kuleta magari mapya na yenye hazi nzuri kwa wakazi wa chang'ombe.

ndenge za kivita kutoka ufaransa zikiwa juu ya anga nchini mali

Vikowww.facebook.com/haji.mussasi vya kijeshi kutoka ufaransa,nigeria pamoja na mali ndani ya siku mbili  zafaulu kukomboa baadhi ya miji iliyokuwa inakaliwa na wapiganaji wa kiisslamu kaskazini mwa mali.wapiganaji wa kiislamu walionekana wakikimbiaa miji hiyo wakiwa wamevaa nguo za kiraiaa ili wasitambulike

Friday, January 18, 2013

WANAJESHI WA UFARANSA WAINGIA MALI

                                                         Wanajeshi wa ufarasa watua mali kuhakikisha wanaondoa wapiganaji wa kiislamu kaskazini mwa mali